The Tomorrow People
JF-Expert Member
- Jul 11, 2013
- 2,690
- 2,853
Wanabodi,
Ile series ya kibabe "Prison Break" inaendelea pale ilipoishia..
Link analetewa habari na Tbag kuwa Michael hakufa bali ulichezwa mchezo ikawekwa maiti bandia, na Michael akapelekwa gerezani nje ya Marekani.
Utamu, unaanzia hapo.... Link akawakusanya washkaji kina Sucre etc kwenda kumtolosha Michael.
Ni bonge la Series... Kuanza kuoneshwa na Fox this April 2017.
Wazee wa kudownload tukae mkao wa kula.
Link ya trela hiyo hapo down.