usedphotocopytz
Senior Member
- Aug 18, 2015
- 174
- 23
- Thread starter
- #21
hiyo printer inatumia wino wa aina gani? vipi upatikanaji wa wino na bei yake?
Wino wake nitakuuzia 85.000 tshs ambao utapata karatasi 108 na wino 3...yani kila karatasi 36 zinatumia wino 1 kwa hiyo karatsi 108 zikiisha na wino umeisha zinaendana. Wino unakuja pamoja na karatasi zake seti kwenye box..unapata faida nzuri kwa maana ukiaafisha passport @ shs 3000 x 108 faida utakayopata unatoa 85.000 ya wino una faida kubwa tu..tunatuma mpaka mkoa hata wino. Karibu