Printer inauzwa na mashine nyingine za stationery

Printer inauzwa na mashine nyingine za stationery

Jay10

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2018
Posts
724
Reaction score
560
Nauza printer aina ya HP LASERJET M127 fn, ina;

print, copy, scan, fax na wireless (e print), pia Ina feeder juu.
BEI Tsh. 450,000/=
Note: ilikuwa kwa matumiz binafsi.

Mashine nyingine ni:

>Laminator
>binding mashine
>laptop HP, RAM 4, HARD DISC 500GB
>desk top
Located: Moshi
Mawasiliano: sms/call/whatApp 0718321418
IMG_20190523_090656.jpeg
IMG_20190523_090442.jpeg
IMG_20190523_090548.jpeg
IMG_20190523_090308.jpeg
IMG_20190523_091924.jpeg
IMG_20190523_162319.jpeg
IMG_20190523_162248.jpeg
IMG_20190523_091103.jpeg
IMG_20190523_090052.jpeg
IMG_20190523_162508.jpeg
 
Laptop bei gani, ina tatizo lolote?
 
Laptop bei gani, ina tatizo lolote?
Laptop ni toleo jipya HP nimeitumia kipnd kfup xana cha masomo.... Haina Tatzo lolote la kiufundi na bado iko ktk gud condition..... Ila kuna haja ya kubadilisha battery mana naona uwezo wake leo c kama wa awal...
 
mkuu unahama nchini nini kwenda kujaribu maisha mengine tripoli
 
Nauza Tecno Tablet 8H,

RAM: 1 GB
SD:16 GB
Condition : touch yake kuna sehemu moja inasumbua (bei ya touch 30,000 - 27,000)
Location : Moshi - Njia panda ya Same.
Bei: 150, 000/=
Mawasiliano : sms/call/whatsApp 0718-321418
IMG_20190529_085540.jpeg
IMG_20190529_085633.jpeg
IMG_20190529_085652.jpeg
IMG_20190529_085623.jpeg
IMG_20190529_085600.jpeg
 
Sorry nimechelewa kujb... Sikuwa online in time... Ila nashauri usiwe na pre judgment kwa kila jambo
[/QUOTEUkijishughulisha na watu wa aina hii maisha yako yanaweza kuwa magumu sana. Watanzania wengi wana roho za namna hiyo. Fikiria hadi mkuu anathubutu kusema mbele za watu kuwa katika utawala wake tajiri ataishi kama shetani au watu watalimia kwa meno. Ni dalili za watu wanaoitwa sadists. Wapotezee tu tuishi nao hivyo hivyo tu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom