Mtanza Mwenye Nia
Member
- Sep 10, 2013
- 76
- 21
Habari Wakuu!
Kutokana na kudorola kwa biashara, Nimeamua kufunga Stationary! Kuna items ambazo zimebaki na ningependa kuziuza kabla ya kufunga!
Nina Canon C-EXV33 Tonner 6 for imageRUNNER 2520/2525/2530
Pia nina Print Cartridge (Black) 8 for HP Laserjet Pro MFP M125, M127, M201, M225
Bei maelewano wakuu! Ni-PM kama unazihitaji....
Natanguliza shukrani!