Huogopi mke wa mtu?
Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari Preta niPM basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha
Mke wako huyo?
Pepo wa ngono, kama ni mke wa mtu ! acha hiyo tamaa,
Bamweleze.
Hayakuhuuuuuuu....ndo mana nannhii kakupiga chini ukaja kulia hapa.....hajambo lakini? Baby come back yenu lini au mpaka nimpige chini kwanza? Ujue nshamkinai?
Huogopi mke wa mtu?
Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari Preta niPM basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha
Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari Preta niPM basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha
kumbe tupo wengi. Ukipata dawa ya hilo tatizo mkuu tafadhali ni pm kwani kuna kifaa humu jf kinaniuahabari zenu wana mmu na jf kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada preta. Kila nikitaka kumpm naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari preta nipm basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha
Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari Preta niPM basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha
nilidhani haya mambo yako FB tuu kumbe na huku pia..........Habari zenu wana MMU na JF kwa ujumla. Leo nimeamua kutoa dukuduku langu ni kuhusu huyu mwanadada Preta. Kila nikitaka kumPM naanza vizuri lakini nikifika katikati najikuta nimeifuta msg na kuishia kugonga meza kwa hasira, hata nikikuta amepost kwenye thread hapo ndo kabisaa nahama jukwaa. Sasa najiuliza ni kwa namna gani nitaweza kutalk nae? Kitu pekee nilichofanikiwa ni kum add tu. Tafadhari Preta niPM basi tuongee mawili matatu. Nashindwa kuendelea. . . . .nawasilisha