Dah! imekula kwangu aisee! Whyy Preta? Kwanini lakini? au kwasababu sikukununulia jenereta kipindi cha mgao? naomba unilejeshee kinokia tochi changu nilichokuletea zawadi kipindi cha uchumba hewa wetu.
na wewe AD sitoquote post zako kwa muda wa wiki 2 , hii ni azabu yako ya kuanzisha hili sredi.
mkiona sijibu posts mjue nimezimia.
Dah....nilipitwa huu mnuso...Preta nin bhana!
ha ha ha ha haaa mkuu mi ndo nimezinduka baada ya kuzimia! niko njiani naelekea yaeda chini... i have to hear this face2face<img src="/images/styles/JamiiForums/smilies/car.gif" border="0" alt="" title="Car" smilieid="145" class="inlineimg" />
Dahh huo usafiri wako
Utafika kweli Yaeda Chini ...
<br />najikongoja taratibu... i must get there
Dah....nilipitwa huu mnuso...Preta nin bhana!