kichwapanzi
Member
- Aug 30, 2016
- 50
- 23
habar wana jf nauza presher washer phd 100 C2, nipo wilayya ya mwanga mkoa wa kilimanjaro bei laki 6, kama unahitaji ni dm
Aku dm Ndio kitu gani? au mutu ya Mombasa wewe!habar wana jf nauza presher washer phd 100 C2, nipo wilayya ya mwanga mkoa wa kilimanjaro bei laki 6, kama unahitaji ni dm
tafadhali weka pichahabar wana jf nauza presher washer phd 100 C2, nipo wilayya ya mwanga mkoa wa kilimanjaro bei laki 6, kama unahitaji ni dm
kaka halaf mtu ana ph d moja anaringaaaaaAisee kuna Pressure zimesoma mpaka zinafikisha pHD 100
Aisee hiyo ni zaidi ya Le ProfeseriiiAisee kuna Pressure zimesoma mpaka zinafikisha pHD 100
kaka halaf mtu ana ph d moja anaringaaaaa