President Paul Kagame responds to Jakaya Kikwete on FDRL comments 'utter nonsense'

Kagame, we all know that your economy depends on diamonds that your soldiers steal from the DRC. You would therefore like to have an endless fight with your opponents for the benefit of your country. This explains as to why you oppose any talk that may see an end to the fight.

It doesn't come to sense that Tz's advice would provoke your anger to an extent of insulting the advisor. Advice doesn't move stones!! So calm down before we strip you naked. For, we have the power.
 

Wanyarwanda mnajifanya wajuzi sana na akili,ondoa upumbavu wako hapa! Wabaguzi wakubwa na mnajifanya mna akili kuwazudu watu wengine!
 
Ni wakati muafaka sasa kufunga rasmi makambi ya wakimbizi wa rwanda waliopo kigoma na ngara....kagame anajifanya mwerevu wakati tanzania inabeba mzigo wa watu wake kutokana na kukosekana kwa amani nchini mwake
 
Lets leave alone our economy and consider the truth behind the ongoing conflict in Rwanda. First I would like to assure you that Tanzania was one of the strong mediator of the conflicts that arised in Rwanda in the earily 1990s. If you go back to history, you will realize that, after the first attack of the RPF in 1990, it is Tanzania which mediated the situation leading to the signing of the agreement for a coalliation government between the Tutsi and the Hutu. The same was done for Burundi. However, before the coalliation government came into effect, the Kagame and his allies shot Habyarimana's plane leading to the genocide.
 

sio kwa sasa mkuu tumekuwa butu sana tofauti na enzi za Nyerere
 
Katika marais wa hovyo kagame is iclusive the man he belive that tanzanian people have the same leve as his people in awarenes,watanzani si wajinga kama warwanda ambao anawatawala kwa mabavu tunampongeza rais wetu kwa kuendelea kumpuuza.
 
Assist me here fellaz....why did we send our troops to rid M23 and not use these mighty reconcilliatory 'tekniksi' ?

Kikwete's position is that the military option is a short term solution. Ultimately, and this is not a mere Kikwete position, but a common thread in Tanzanian Foreign policy - or rather whatever semblance left of it- is to prefer negotiations over military options.
 
Kikwete alitoa ushauri kwa nchi za maziwa makuu, iweje kagame ajirukie na kuanza kubwabwa huu utumbo??? Anahusika na ukandamizaji wa demokrasia na kuendesha umwagaji damu
 

Unajua hakuna jambo ambalo lilinipa wakati mgumu kama ule mchakato wa kasi wa kuziingiza nchi Rwanda na Burundi katika jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC). Mchakato ule ulipoanza nilijiuliza busara za viongozi wa EAC ziko wapi. Kwani nchi hizi zilikuwa hazija ji commit kusaka amani za kudumu katika nyumba (nchi) zao. Na moja ya 'spirit' ya EAC ni kuwa nchi taifa mwanachama lazima nchi iwe na uvumilivu wa kisiasa na ustawi wa amani katika nchi husika. Niliona viongozi wa EAC wamekuwa vipofu kwa kutoona ajenda chafu ya Rwanda iliyokuwa nyuma ya pazia. Mwanzoni nilihisi Rwanda ilikuwa haina pa kushikia ndio maana ilijitahidi sana iingie kwenye jumuiya ili ipate pa kuzuga. Hii ingewafanya waepuke kipigo cha mchangio iwapo ingekuwa nje iwapo ingeanzanza kucheza faulo kule Congo DRC.

Lakini baada baada ya kupewa kadi ya Uanachama tu tulishuhudia ngozi halisi ya Rwanda pale ilipoanza haraka haraka kuanza kudai kwa nguvu zote ipewe zamu ya uongozi wa Ukatibu Mkuu wa EAC. Hapo nikajua sasa mgeni (mkaribishwaji) ameshakuwa mwenye nyumba (typical Rwandese attitudes). Nikaona sasa Rwanda imepata pa kuegemea kwani hata ikifanya ukorofi inajua iko kwenye mwamvuli wa jumuiya. Hivyo hakuna tishio la kunyooshwa kwa kundi jingine lolote la umoja wa nchi majirani. Na kweli imekuwa hivyo kwa kipindi chote sasa.

Mwisho, nafarijika sasa kuona walau safari hii Rais Kikwete na Serikali yake amepata ujasiri wa kuthubutu kutoa kauli kwa kuliita shpe ni shepe na koleo ni koleo japokuwa kwa kipindi kirefu Rais amekuwa mtazamaji wa uchafu wa Rwanda. Nilikuwa nikijiuliza siku zote nini maana ya ububu na ukipofu wa Kikwete juu ya Kageme na Unyama wake kule DRC. Lakini bila shaka yote yanatokea sasa kwa sababu 'It's all about the time"

Binafsi si mpenzi wa hivyoooo wa siasa za Kikwete. Lakini kwa hili la ushauri wake kwa Kagame (siasa za ushabiki wa vyama naziweka pembeni) na natangaza kuwa niko bega kwa bega na Rais wangiu 150%. Hakuna cha kumuonea haya Museveni wala Kagame. Ikibidi kila mtu kivyake vyake lakini lazima Tanzania lisiwe taifa lakufanywa 'babu jinga kubwa'. "We must have to take the charge."
 
Wakuu kagame anajiona amesimama lakini anaweza kuanguka wakati wowote,kwanza taifa lake ni dogo sanani sawa na ukubwa wa mji wa mpanda sasa hizi kelele anazopiga sijui anamtegemea nani,cha ajabu zaidi jk alitoa ushauri huu kwa marais wote wanaohusika na huu mgogoro why kagame tend to react?
 

Mkuu sisi hapa Arusha tuna ushahidi wa upuuzi wa WaTutsi. Kagame amedhihirisha rangi yao.

Tanzania kwa hili Kikwete ameonyesha kubakia na tunu kubwa ya Utanzania ya kutatua migogoro bila kupendelea. Namuunga mkono, tumuunge mkono kwa kutoteteleka tutunze heshima yetu. Maana ni kweli migogoro yote huishia kutatuliwa kwa njia ya majadiliano na maridhiano NA SI VINGINEVYO.
 

Wewe ni muongo M7 hajanunua F-16 za kimarekani ila za Urusi aina ya Suckoi na sina uhakika kama anazo tayari wenye data za ukweli watatuambia. Bajeti ya jeshi unaijua kumbe acheni kudanganya watu hapa kwenye jukwaa! so jeshi letu limekua kama la Congo siyo? watu mnafani za kutunga uongo kupindukia,fanya tafiti za kutosha kabla hujakulupuka na data za kusikia vijiweni.
 
Nilikua namkubali sana Kagame, bado ninampenda yeye na nchi ya Rwanda, nina mshauri lakini asitumie hasira, Tanzania sio kabisa, ni mnyama mmbaya, akumbuke waliitwa MASHETANI katika vita waliopigana dhidi ya Saud Arabia, Sudan, Libya na Uganda na akiwepo mbele Dada Idd Amin na Tanzania ilishinda na mpaka leo Uganda imeongozwa na vibaraka kama 6 hivi wa Tanzania akiwepo Museveni, vita Tanzania ilishinda peke yake pamoja na Dunia nzima kukaa benchi na kutucheka.
 

There cannot be any economic diplomacy with our neighbors if they are mired in ceaseless wars and genocides.

Encouraging peace IS economic diplomacy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…