Ni kweli kuwa Wanyarwanda wamejenga nchi yao baada ya yale mauaji. Nchi nyingi zimepitia magumu kama hayo. tatizo la mafanikio ni kutoona nje ya wigo Naamini Rwanda wanatumia rasilimali zao nyingi kuzuia eventality ya FDLR kwani ni tishio halali kwa stawi wao. Je tunaweza kujifunza ktoka kwenye historia jibu si rahisi la sivyo amani ingetawala duniani. Swala la kuzungumza au la inategemea na nguvu ya adui yako. Inaelekea kwa sasa bado FDLR ina nguvu hivyo, kijeshi, si muda muafaka kuzngumza nao. ili iweje. Kiwete kama 'mwanajeshi' wa kweli angezungumza pembeni. Kwa upande mwingine labda Museveni alijua hilo kama mwenyekiti angetakiwa aseme maneno hayo. Kuepusha soo akachelewa na Vasco kupewa kiti akamwaga mboga na ugali. Kagame ajue aliyekuwa aseme hayo ni rafiki yake Museveni lakini kwa kutotaka ugomvi naye akampisha Kikwete !!!!!!! Viti vingine vya moto. it was a hot potatoe issue among the presidents who are supposed to say "the buck ends hier". Shame on themHatuhitaji kupigana na mtu kama Kagame, msisahau huyu bwana kajenga ile nchi kwa muda sasa paka imekua ya kupigiwa mfano, kwenye nyaja za elimu, Mazingira, uchumi na kilimo,anastahili pongezi na ushauri badala ya kumpiga, yeye ni mzalendo japo wengi wa viongoz wetu wana shida ya wizi na uchakachuaji...mimi namfagilia sana...
Hili ndilo tatizo la demokrasia ya kiafrika. Mursi ameiingiza nchi yake kwenye matatizo kwa kuwaondoa waliokuwapo na kuweka watu wake. Hatamu za kisiasa zisingilie uendshaji wa serikali kimuundo!! Je tukubali uoga huu kuongelea amaniNasDaz,
Kukiwa tu na amani ya kweli, uchaguzi wowote wa halali utawaondoa Watutsi madarakani na yeye kuishia ICC anakopapiga vita hivi sasa.
Sisi ni taifa kubwa na tunaweza kuweka kibaraka wetu Rwanda? Are you kidding me?
Kikwete anaacha nyumba yake inaungua anakimbilia kuokoa ya jirani!
Kwa rafikiye kipenzKagame visit Tanzania
Duuu pengine huyu mduanzi ndio katumia nafasi hii aliyonayo sasa na jiwe kukuteka nini ?Kagame amelipuka zaidi anapofikiria Tanzania ni sehemu ya waliopeleka intervention Brigade.Tuunge Mkono JWTZ,ma-expansionist kama Kagame na Museveni ni hatari kwa stability na long lasting peace hapa ukanda wa maziwa makuu.
The muderous Dictator will not take this lightly. Kagame anatumia msamiati wa genocide kutafuta sympathy na kutaka watu wake wa-rally Behind huku ikijulikana kama alivyotoa ushahidi Jenerali Kayumba Nyamwasa kwamba yeye ndiye aliyeamuru ndege iliyowabeba marais wa Rwanda na Burundi itunguliwe na genocide ikaanza. Pia alitoa ushuhuda mahakamani huko SA kwamba Kagame ndiye aiyeamuru na kutekeleza mauaji ya Laurent Desire Kabila.
The bloody thirsty dictator is paranoid!
Mtandao ni kitu hatari sana.Duuu pengine huyu mduanzi ndio katumia nafasi hii aliyonayo sasa na jiwe kukuteka nini ?
Pole sana Ben
Sent using Jamii Forums mobile app