President Mugabe in comma?

Duh!mkwepa kodi imeisha thibitika kuwa comrade kavuta?aliniacha hoi kuwapa mashamba chimulenga(veterans wa vita)hawana uwezo wa kulima ndipo mambo yalipo anza kwenda kombo waqt fulani Zimbabwe dola ilikuwa inalingana na usd sasa imebaki historia.
Azikwe tu hivyohivyo maana hakuna namna
 
apumzike tu sasa. katika utawala wake hamna alilofanya zaidi ya kuleta ubaguzi wa rangi na kuua uchumi wa Zimbabwe. kama africa kweli tunataka maendeleo bas tusubir kizazi hiki cha kina mugabe kife kwanza
 
Tayari BBC na vyombo vingine vya habari wanaripoti kuwa inawezekana ni HOAX na Jongwe liko salama salimini.
 
Duh!Pole yake na Wazimbabwe kwa ujumla.Shivangirai aanze kupiga jaramba
 
Hii Habari imeripotiwa na magazeti ya udaku ya UK
1. Internationakl Businesstimes UK
2. Daily Ex[press
Kwan magazeti ya udaku yanasema uongo.swala wao ni wa mbea tu lakin taarifa za kwel
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…