Habar wakuu presha ya kawaida kwa mjamzito miez 8 huwa inacheza ngap kitaalamu
Mke wang amefanya clinic zahanat hapo hivi sasa ana miez 8 ya ujauzito presha yake inacheza 135 kwa 88 baadae imekuwa 131kwa 85 leo
Sasa jana kuna doc tumemkuta pale kamwambia hii ni hatar sana anaweza pata kifafa cha mimba
Naomba kuuliza kuna mtu dunian presha yake inaganda 120 kwa 80 tu na je hal alonayo n ya hatar na yeye hana dalil za presha kama kichwa kuuma...kizunguzungu