Premio new model inahitajika

Tatizo wabongo wamekariri kupigwaa...we kama unaona pesa ndogo..tulia na upitee iviii...wapo watakaofika hiyo bei..nasisitiza wapo na siyo yupo.
Kuna watu wanaudhi, kitu kama huna ishu nacho sio lazima ukomenti. Hii ni biashara,anaweza akatokea mtu akasema mimi nina ya kiasi fulani, kikubwa cha hiyo mkakubaliana, ukaipenda, halafu ukampa ulichonacho, halafu mnamalizana. Mimi nilimuuzia mtu humu humu jf pajero, na alinilipa kwa awamu tatu ndani ya miezi miwili. Ni makubaliano tu.
 

acha ujuaji wewe premio NEW MODEL 2017 version unajua CIF yake dola ngapi?, labda huyu jamaa asiwe anamaanisha NEW MODEL.
 
acha ujuaji wewe premio NEW MODEL 2017 version unajua CIF yake dola ngapi?, labda huyu jamaa asiwe anamaanisha NEW MODEL.
Mkuu kuna corona premio, acha hiyo namaanisha toleo lililofuatia, na ni used ya mkononi ya mtu, kama hii

 
Asanteni sana, gari imepatikana jumamosi juzi. TUPO pamoja
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…