Precission mtaacha canceling rte mpaka lini jamani>??

Pdidy

Platinum Member
Joined
Nov 22, 2007
Posts
61,680
Reaction score
37,867
Nahisi wanapoelekea ni karibu na air time change\hawa waungwana watu walijua ndio wamekamata maslahi ya national carrier lakini hivi karibuni wamenisikitisha sana likiwemo tatizo la leo asbhHivi watu wa airline inakuwaje mnamwacha abiria anafika mpaka airport for checking in anakuta ndege imefutwa mna maana ganileo imenihuzunisha nilikuwa na mzee wangu tumeingia ndani nikahisi yuko mwenyewe nikakuta timu iko ya watu kama 50 kwenye vikundi....sasa uzembe huuu huu kumbe ndege hiyo hiyo ikirudi inaenda mwanza wakajazana na wa mwanza jamani mbona hizi aibu??kulikuwa na wazungu wamtoka ba wanaconnect mwanza aibu tupu..sasa tuwapen basi hata ZANAIR watuendeshe kwa sytle hiianyway naomben mbadilike bado mna muda wa kuchange
 

hivi huwa unaongeaga nini?....samahani kama nimekukwaza

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…