Hi ifike wakati tuanze kujilinda wenyewe ndugu zanguni
nimeanza kuhofu huu mfululizo wa ndege za atcl kupaki kimoja kwenye mikoa mbaya
pemben kabsa ya uwanja kuonyesha tulikuwepo nahisi ni wakati wa atcl kuamka
sasa na kuanza kufikiria nini kinaendelea
katika pita pita atukusita kusikia vijana yawezekana wanapigwa misumari na kampuni
ya precission..sipendi kuamini lakini haya mambo yapo wana ndugu hata kwenye misiba wa kanumba
jana bibi mmoja ameanguka gafla kutoka angani pemben ya nyumba aliokuwa anakaa kanumba
alipoulizwa akadai amekuja kumchukua waende lagos kutengeneza movie
saaa ya ukombozi ni sasa

umeongea ukweli mtupu, maswali ya kujiuliza ili uelewe economic sabotage inayofanywa na precision kwa ATCL ni haya yafutayo,
- kwa nini ndege za ATCL tu ndizo zinapata ajali?
- ni lini umesikia ndege ya perecision imepata ajali?
- je ni kwa nini ajali hizi zote haziui ila ni ndege tu inaharibika?
- hujuma kubwa inafanywa hapa
umeongea ukweli mtupu, maswali ya kujiuliza ili uelewe economic sabotage inayofanywa na precision kwa ATCL ni haya yafutayo,
- kwa nini ndege za ATCL tu ndizo zinapata ajali? Kwasababu wanaongozwa na vichwa maji, wabinafsi na watu wenye choyo kikubwa sana kwenye mioyo yao
- ni lini umesikia ndege ya perecision imepata ajali? kwa sababu wanajali uasalama wa abiria wao, hizo ajali za ATCL zinaepukika ndio maan haziui siku zote ukiona ajali kweli ya ndege inamaliza watu wote wa ndani
- je ni kwa nini ajali hizi zote haziui ila ni ndege tu inaharibika? kwa sabaubu zinasababishwa na uzembe na sio mipango ya mungu kama wanavyodai
- hujuma kubwa inafanywa hapa hiyo hujuma unafanya wewe na wa kwenu wote na sio Precision labda umuulize waziri Nundu