kyanaKyoMuhaya
JF-Expert Member
- Jul 8, 2012
- 1,952
- 939
Wamepitisha mikaratasi kila tulipokaa eti tukachukue refleshment hotelini, hakuna mwenye appetite, upuuzi mtupu.Pole ndugu kawia ufike
Ndo zao hao! Mara nying flights za weekend matatizo ya overbooking yanajitokeza! Usijeshangaa utakapofika destination yako, ukataarifiwa kuwa checked baggage yako italetwa kesho!
Lachicaguapa can you imagine? Bado nang'aaa macho airport. Jinga kabisa!
Ningefanyaje Kabanga,yaani nalaani na Nina connection ya KLM ya saa 6 usiku, sasa hivi ndo niko Zanzibar.bado unapanda hizo ndege....?
Na bado...usishangae unaambiwa...ndege mbovu upande ya asubuhi... Yani na kwambia Leo utalala airport na kulivyo na baridi....
niko Zanzibar hata vinywaji vyao tumesusa wamekunywa wazungu tu waliokuwa wanakuja Zenj. Lakini naitwa ahi Connection ya KLM usiku. Nikifika Dar sijui?
Nimepanda ndege yao moja, ina joto kama nini? yaani hawa precision kuna siku watatumaliza
Bora wewe joto sasa sisi siku hiyo ndege ili kuwa inanukia electricity alafu badala ya baridi joto likawa Ndio linazidi, ndege Ndio ili kuwa inataka kufly ilibidi waisimamishe katikati ya uwanja... Tukashuka....sitosahau siku ile... Baadae tukaambiwa turudi yakawa yaleyale basi wakachekchek then ...... everything alright! Na kwambia mkuu airhostess alituelekeza kutumia maboya kwa ufanisi kuliko mwanzo! Ndege ilikuwa kimya mpaka tulipofika....na siku hiyo nadhani waliuza vinywaji vikali kuliko siku zote......
Ningefanyaje Kabanga,yaani nalaani na Nina connection ya KLM ya saa 6 usiku, sasa hivi ndo niko Zanzibar.
Mkuu, pole sana.
naomba updates ya ulipofikia, ama walipofikia wao. ina maana flight uliyotaka ni kutoka Zanzibar kuja JNIA ama?
Mkuu niliiwahi jinsi walivyoniudhi kila mtanzania ninayekutana nae namweleza habari ya Precision na ujinga wao.wahi boti faster la sivyo KLM utaisoma kwenye internet.
Mungu atuepushe na ninataka kuyafikiria....