Pray for Russia, tuache ushabiki

Mtu anaejitetea kwa kuvamiwa hata akikomboa eneo dogo tu ni ushindi mkubwa sana.Tunamshangaa huyo Supa pawa kutoka kuteka maeneo hadi leo wenye Nchi yao wanakomboa.Unadharau kuwa ni eneo dogo lakini unasahau kuwa kidogo kidogo watajikuta wamekomboa eneo kubwa.
 
Kumbuka na Russia walibaka sana hapo ukrean
 
Yani unaiomba Marekani ambayo huko ndo wamepaleka watu wao na siraha zao? Unaiomba Uingereza? Germany? Serious?
Your browser is not able to display this video.
 
Sijui lakini.Hivi mtu aki.tom.ba moto si anategemea kuungua vu.uuzee?😂😂😂
🤠🤠🤠 Umefanya nicheke mapemaa sana.. Ukweli Ukraine hana capacity ya kuikabili Russia. Ukraine anapewa support kubwa na nchi za Ulaya na Marekani. Putin ka stop kuna mchezo wameusoma, subiri ujio mpyaaa watu wataomba pooo.. Anatunga sheria ya kumtwanga mtoto ashike adabu na wanao msaidia walale mbele
 
bUsiwe na shaka. Hawa m Usiwe na shaka hawa mbuzi vibaraka wa magharibi chai iko jikoni. Wataswagwa tu hadi zizini hatimae machinjioni.
 
Sipendi Vita ila Kama ni kweli ni vizuri sana.mimi nachukia sana kuonewa.ndo maana hata marekani uwa siwapendi ila kwa hili la Putin nipo pamoja nao
Ni sawa ujenge nyumba yako alafu mtu aje akwambie hapo ni kwake bila kuwa na uthibitisho Bali ubabe tu.
Hakuna mnyonge yeyote anayeweza kukubali .akikushindwa kwa Vita atakuroga
 
Hapo wajiandae Kwa kichapo Cha mbwa Koko!Bora raia wasirudi kwanza kwenye hayo maeneo yaliyorudi Kwa Ukraine!
 
US Kwa kiasi kikubwa ndio kachochea hii vita na hataki iishe Kwa maslahi yake!Anapata manufaa zaidi vita ikichukua muda mrefu maana deni atakalokuwa nalo Ukraine litalipwa Hadi na vitukuu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…