PRADO kaliii 16milion tu, 0689315582

PRADO kaliii 16milion tu, 0689315582

nauza Suzuki swift namba C, mil 5.3, ukiitaka piga namba 0713674291

Kweli wewe kifutu,mwenzako amekwambia anauhitaji wa hela cash na Gari ndogo kama hiyo wewe tena unataka kumuuzia kimeo chako.
 
Namba Abcd has nothing to do with Ubora wa gari,unaweza kukuta namba A lakini gari imetumika kidogo na imetunzwa vyema,nyingine ukakuta ina namba C lakini gari imeburuzwa vya kutosha na haikutunzwa vizuri.Ukitaka gari chukua Fundi MZOEFU anayejua magari vizuri akague pia mfanye driving test ya at least km 20.
 
HA HA HA A A mbavu zangu mwenzenu khaa!
 
Namba A huku ina km 85000 ilikuwa inasafiri kwenda kanisani siku za jumapili tu?
Umeongea point
Au lipia 5milion unipe na gari moja kati ya haya (raum, ist, wish, gx110)
Gari ni Prado
Automatic
Turbo, Diesel
85,000km,
Bei sh milion 16, ukiinunua Unaichukua haidaiwi
Haina tatizo lolote njoo na fundi kagua Gari chukua mchuma
Sababu ya kuuza ni uhitaji wa 5milion haraka.
 
Nina Nissan x- trail, nikuongezee ngapi? Am serious , ila rusha picha za ndani, mbele na nyuma
 
Mimi nakupa Mil 5 ila gari ndio itakuwa insurance bond...kama upo tayari ni PM.
 
Back
Top Bottom