Prado Inahitajika

Prado Inahitajika

Nyamgluu

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
3,160
Reaction score
1,729
Natafuta Prado ya diesel. Engine iwe 1kz budget 20m namba c.
 
Ipo znz last week niliiona kwenye moja ya yard ipo karibu na matanki ya mafuta ya mtoni njia ya bububu kwenye njia panda ya barabara ya mkapa kuna yard pale ipo hiyo gari
 
Mkuu kuna Mitsubishi shogun, T 380 AWA, 93,377 km, petrol engine, 4 wheel drive, long chassis, 5 doors, red colour. .front suspension ndo kubadili. .15mil. .if interested.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom