Ppsss psss....

Mmhh!!!! hivi viswahili tangu mpewe darasa mmekuwa makungwi!!

Hahahaha! Hick hick hick! Hivi ili bia iwe tamu mhudumu anapaswa aitwe kwa jina lake au psssssssssssss!!!
 
Hii ppssss ppsss inaweza kutumika kujambisha kwa wenye busha?
 
Hii sio njia nzuri ya kuita mtu.
 
Hommie huo nao unaweza kuwa MUKTADHA?:confused2::confused2:


kwenye muktadha wa baa, wakati mwingine inabidi tu kumwita kwa njia hii hasa wahudumu sugu wa baa za magomeni mapipa.....:confused2:
 
me sitaki hata kuisikia hii kitu..kwanini mtu akuite kwa style hiyo???
 
Nadhani wengi mmeshausikia huo mlio. Ni mlio ambao unatengenezwa kwa kukutanisha sehemu za juu na chini za mdomo (lips) na kuzifunga na hatimaye kuachia hewa iliyokusanyika kwa kuzifungua sehemu hizo kwa kutumia nguvu kidogo.
kweli hii fani inakufaa sana!
 
Naichukia sana hiyo style kwani ni ya kihuni,thru psss sikuwahi kugeuka kwani haina heshima wala nidhamu.Kwa sasa nadhani inatumika zaidi bar,,,lol
 
Mbona wauza maji na vocha kwenye mataa semu za magomeni ilala nyerere rod na chang'mbe wanabusubusu namnageuka kununua vocha au maji? hawa hwawauzi
 

Ahaaaa ngoja nicheke ila kwa sasa siyotena kwa madada imeshakuwa Honi!!au waulize makonda na wapiga debe ndo imekuwa njia rahisi yakuitia abiria!!au kwa Baiskeli isiyokuwa na Kengere utasikia psiiii!!ukisikia ukafikiri unaitwa pole! utasikia unapigwa taili!!!na kama ni kituo cha daladala ujue unaambiwa panda kwenye gari!!!! na kama hupo kariakoo shimoni!!,,,,mamayangu geuka haraka au kimbia lasivyo utatwishwa gunia la viazi!!:becky:
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…