Salute.wakuu kutokana na vyuma kukaza nikapata wazo nikakope fedha mfuko was ppf maana mi mteja wao sasa sina uhakika kama wanakopesha au la maana maana kufikisha hiyo miaka 55 si Leo.naomba mwenye uzoefu na hili anipe taarifa zaidi asanten.