PPF IMEOZA KWA HUDUMA ZA WATEJA

fatakifataki

Senior Member
Nov 2, 2009
134
60
Dawati la huduma limeoza kwa kuwa lina watumishi pale wanapokea fomu za claim mbalimbali za wateja na kuzifungia kwenye droo zao hadi mwezi unapita kisha wamemwelekeza mteja let say mstaafu atanulishwa baada ya wiki mbili kama malipo yamekamilika anajaribu kuwapigia tena na tena majawabu yanakuwa malipo yako yanafanyiwa kazi!!wakiulizwa kwann wiki mbili zimepita na malipo bado kukamilika majibu bado yanafanyiwa kazi!!baada ya mwezi kupita mstaafu kachoka kusubiri anawapigia tena majibu hatukuweza kuifanyia kazi ilikosa mihuri na sahihi za mwajiri kwenye supporting document kwa hivyo inabidi uje uchukue upeleke kwa mwajiri akasaini hizo supporting doc hali ya kuwa claim form na michango ya wateja mmeiona iko sawa. Bila huruma tena wanamtaka asubiri mwezi.
Mstaafu huyo au mteja wa claim za kawaida.
Honestly sijawahi kuona organization isiyokuwa na TUrn around time ya huduma zake huo uozo wa kwanza
Pili kilichonistua ni je wazee wanapata tabu kiasi gani kupata malipo yao kwa urasimu huu wa kuweka doc juu ya meza mwezi mzima kisha kujibiwa hakuna muhuri sijui attachment ....n.k
Ni kwann mmeweka frontline isiyokuwa efficiency na inayofanya kazi kitaalamu?
Kingine ni dawati la payment process pia limejaa urasimu hivi mteja anayeweka fedha zake kwenye acc ya hifadhi za jamii anasubiri nn hicho special mwezi mzima ndipo alipwe malipo yake?jirekebisheni
 
Back
Top Bottom