PPF Aptitude Test

Umeitwa post ipi, kuna maswali ambayo ni specific kwa ajili ya post fulani.
Be specific
 
don't ever crack your head when it comes of aptitude test...endelea na mishe zako kama kawa na wala huna haja ya kusoma chochote. wakati ukifika, nenda! hata ukibeba calculator ni kujiongezea mizigo tu isiyo na sababu.
 
Kwa iyoo hata pen haitakiwi???
Ila wasiwasi wangu ni juu ya mda maana eti wanadai ni dakika 15 kuna kitakachofanyika ka dakika izo kweli wadau???
 
Itakua zile za Operations Trainee Officer maana ndio zinafanywa Aptitude Test kesho UCC...
 
Aptitude test zinakuaga hazina maandalizi. Zina pima uwezo na upeo wa mtu alionao. Wana anagalia jinsi mtu anavyo fikiria kwa haraka under high pressure situations. So kama tayari hauna huo upeo sasa huwezi kuupata ndani ya siku kadhaa. Aptitude is something build over time. Ni kama common sense vile.
 
ni mambo ya kawaida tu hayo kijana usiwe na wasi.
 
Kwa iyoo hata pen haitakiwi???
Ila wasiwasi wangu ni juu ya mda maana eti wanadai ni dakika 15 kuna kitakachofanyika ka dakika izo kweli wadau???
Usiache pen... but as far as it's minutes, I bet itakuwa online.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…