Pozi la picha

Mkuu kwa sasa tuna kwenda na fesheen na siyo tena waarabu kwa sasa tuna kabila la wamuha kutoka kigoma ndio biashara yao na kahawa yao kwa kweli siyo nzuri na wengine hutia unga wa kahawa na mahindi ya kukunga na kuyasaga na kukamulia ule mti wa mwarubaini ili iwe chungu na ukimaliza kunywa hiyo kahawa utaona tope la unga ndani ya hicho kikombe na mavazi yao ni kapello na kafulana kachafu na kaputula na yebo yebo tena yasha sagika upande mmoja kama wembe wa kunyolea ndevu na kusema ukweli huwa ni wachafu na hizo vazi lao na vikombe vya vina megu megu na nyufa mkuu lakini samahani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…