Core i3 nayo ni powerfull sikujua, pili bei kubwa sana haina uhalisia, inaonekana nawewe ulipigwa bei kubwa, kwa hiyo bei uliyoweka napata core i7 nzuri kabisa, na kama nitaongeza kama 300k basi hapo unaongelea ultrabooks matata tena i7,
Lengo si kuharibu biashara ila bei kidogo imenishtua, samahani sana kama hii post italeta usumbufu machoni mwako.