Habari wadau,gari yangu imepata ajali na imepasuka kioo cha nyuma,mbele na vya pembeni,msaada wapi naweza pata vioo tajwa original?
Gari ni suzuki grand escudo.
Pole sana Mkuu. Sidhani kama utapata vioo original, lkn vioo vipo vingi na utavipata.
hata original ukitaka unavipataaaa
Gari yako haikuwa na bima kubwa?Nimeenda kwa wachina,wamenipiga 4m,na wanasema vioo original hakuna.
Gari yako haikuwa na bima kubwa?
Pole sana mkuu hapa ndio umuhimu wa Bima kubwa unapokuja. Usingekuwa unaangaika kutafuta hizo spareparts, sasa hivi ungekuwa unasubiri kupigiwa simu na watu wa bima kwenda kuchukua gari yako ikiwa tayari. Hiyo 4M utakayolipia spare ungelipa bima ya zaidi ya miaka 5.Nilikata bima ndogo mkuu