mwanzoni zilikuwa msaada mkubwa sana kwa wananchi kwa sababu zilikuwa AFORDABLE kwa maana ya kununua......
mwaka mmoja baadae bei yake imekuwa more than ''double''.Tafsiri yake ni kwamba sio msaada tena kwa wakulima wadogo wadogo,kwa sababu moja tu kwamba hawawezi tena kumudu gharama za ununuzi......
Tukizungumzia ubora......well,kwa zile version ya kwanza nimeona zinadumu sana tu.hizi zinazotoka sasa hivi sijajua kama ''zimechakachuliwa''
MY TAKE:serikali ilikuwa na plan nzuri sana za kuwasaidia wakulima wadogowadogo,lakini again hii ishu ya power tiller imeharibiwa na ''tamaa binafsi'' za watu fulani fulani.matokeo yake power tiller imegeuka kuwa ''biashara ya muhindi''...
NIKIRIPOTI KUTOKA IDOFI-MAKAMBAKO....mimi ni TEAMO wa JF
Hazimudu kufanya kazi kwenye mazingira ya kwetu kwani sehemu nyingi ardhi ni ngumu zinashindwa kabisa kulima. Ulikuwa mradi wa wakubwa kama Speed Limit ya mabasi miaka ileeeh!