wenyetaaluma hiyo wana ongea vitu havina tija nini maana ya hizo taaluma? Hata ww mwenye taaluma ni kipi cha maana unakifanya ulipo. Show justificationAcha kukariri wewe,Kama hawana taaluma hiyo unataka waendelee kufanya nini hapo na wenye taaruma wapo
Kwani ilishindikana kuwasomesha kozi za mudamfupi? maana uzoefu walishakuwa nao hapo kilichogomba ni vyeti, nafiki busara ilitakiwa itumike wasome masomo ya jioni ili wawe na hivyo vyeti. Mfano madereva wanapopelekwa NIT pale wanafanyiwa kozi fupi na kukipata cheti ambacho serekali ndio inahitaji uwe nacho, wao NIT hawachukui mtu asie jua kuendesha gari wao wanakupiga brash tu na kukupa cheti ambacho serekali ndio moja ya matakwa ya dereva awe nacho.Acha kukariri wewe,Kama hawana taaluma hiyo unataka waendelee kufanya nini hapo na wenye taaruma wapo
Uko sahihi kabisa, yani ukifanya random survey kwenye muda wa asubuhi, " a very prime time" utagundua hakuna kipindi kinatoa content za maana as of now.Mimi ni msikilizaji wa Wasafi radio. kiukweli inaboa pia.kumbe ukisomea utangazaji ndiyo unakuwa huvutii tena.hii imekaaje?au ni mitalaa yenye tatizo.
Lakini pia Matangazo ni mengi sana kuliko contents za walaji.ni kweli wanatakiwa wapate fedha ila pia wanatakiwa wabalance muda wa kuhabarisha watu.
Pili sound man wa Wasafi radio nadhani hayuko vizuri au pengine ni equipments.wale wanaofanyiwa interview sauti zao huwa chini.hii inaonyesha mic ni zile za low quality.Waende wacopy equipments za east africa radio au hata aboud fm
Lilikua wazo zuri sana kuwapeleka wakasomee waendelee kufanya kazi za utangazajiKwani ilishindikana kuwasomesha kozi za mudamfupi? maana uzoefu walishakuwa nao hapo kilichogomba ni vyeti, nafiki busara ilitakiwa itumike wasome masomo ya jioni ili wawe na hivyo vyeti. Mfano madereva wanapopelekwa NIT pale wanafanyiwa kozi fupi na kukipata cheti ambacho serekali ndio inahitaji uwe nacho, wao NIT hawachukui mtu asie jua kuendesha gari wao wanakupiga brash tu na kukupa cheti ambacho serekali ndio moja ya matakwa ya dereva awe nacho.
Napo kwa hawa watangazaji kungefanyika busara ya kuwafanya wapate vyeti ili gurudumu la matangazo liendelee kusonga vye.
Tujitahidi kuheshimu taaluma za watu. Hao waliodhibitiwa na Ithbati wakasome, vyuo vipo then warudi kazini. Uandishi wa habari ulivamiwa na kila mtu. Sasa uheshimike.Uko sahihi kabisa, yani ukifanya random survey kwenye muda wa asubuhi, " a very prime time" utagundua hakuna kipindi kinatoa content za maana as of now.
To some extent amebaki SAM SASALI pekee ndo ana leta hoja za maana na uchambuzi wa kitaalamu kipitia magazeti.
Tukubali tuu lilipo pita hilo fagio, limepita na wengi wa maana zaidi kuliko hawa walio onekana wanafit.. (akina Kitenge, Zembwela, Hando, Masoud Fetty Cza, na wengine wengi wamenyamazishwa tuu kinamna... itoshe kusema wale jamaa pamoja na kuwa hawakua na taaluma hizo ambazo wakuu walizotaka, ila waliweza ku blend sana ujuzi wao, idea zao na exposure zao bila kusahau mbinu nyingi zenye ushawishi katika uwasilishaji hoja.
Kwa mda mwingine wapo sawa kada ya habari ilivamiwa na watu wasio kuwa sahihi nakubeza swala la taaluma wakawa wanaweza atakukosoa taaluma pasipo kujua changamoto gani zinazopitia wahusika wakuuBodi ya ithibati ni ya kipuuzi, imevuruga taaluma badala ya kujenga
sasa waangalie na maslahi ya waandishi, taaluma ilipe vemaKwa mda mwingine wapo sawa kada ya habari ilivamiwa na watu wasio kuwa sahihi nakubeza swala la taaluma wakawa wanaweza atakukosoa taaluma pasipo kujua changamoto gani zinazopitia wahusika wakuu
Ndy wameanza kusajir kupata waliojisajir kuweza kuanzisha majukwaa yakukutana nakujadili maswala mazima ya tansia ya habar kuliko mwanzo palikuwa hmn majukwaa rasmi yakuwawakutanishasasa waangalie na maslahi ya waandishi, taaluma ilipe vema
ITHIBATI HiyoJuma lokole nae simsikii, mashamsham
Hoja si kwamba wasiende kusoma. Hoja ya msingi ni kwamba walio soma wana kipi cha extra ambacho ni very significant?? Uwasilishaji wa hoja umekua mbovu kipindi hakina ladha, mimi binafsi nabadilisha sana stesheni asubuhi, unlikely the previous timesTujitahidi kuheshimu taaluma za watu. Hao waliodhibitiwa na Ithbati wakasome, vyuo vipo then warudi kazini. Uandishi wa habari ulivamiwa na kila mtu. Sasa uheshimike.