Well,just tell them we don't want a hidden(main) agenda in this one.Naamini hii ndio main agenda(power Africa) na si sub agenda.Naamini U.S haijaanzisha project hii ili kutunishiana misuli na China kwa kugawa capital ili serikali zetu zijiingize kwenye mtego wa kuipendelea U.S kiuwekezaji na kimaamuzi automatically.Naamini huu umeme wa U.S hautakuja kutumika kama silaha ya makampuni makubwa ya kimarekani kama General electric kumonopolize soko la vifaa vya umeme,teknolojia na nishati ya Africa huko mbele under the so called "loan guarantee".Nasisitiza hapo kwamba naamini hiyo mitambo na infrastructure zote vitakuwa ni "misaada isiyo na masharti" na si "mikopo".Naamini kabisa "Power Africa" hautakuwa utumwa mpya Africa through technology.Naamini kabisa kwamba hii pamoja na ile nyingine inayoitwa sijui "food security" haitatunyang'anya haki zetu za kimaamuzi juu ya sekta hizo ukizingatia nishati na chakula vyote vinagusa kitu kinaitwa "ardhi".Naamini kabisa bwana Obama alipokuja Dar alikuwa na nia njema na "literal meaning" pale aliposema "so,as part of our partnership for growth,we're working with countries like Tanzania and Ghana to make sure RULES and REGULATIONS are ENCOURAGING investment,not scaring it away".Naamini kabisa hakumaanisha "ku-harmonise" sheria na taratibu zetu ili kuupa nafasi "ukoloni mamboleo" kupitia makampuni yao makubwa kuteka njia zetu kuu za uchumi hata tukashindwa kujitawala tena na kuthibitisha ile methali iseyamayo "mwenye pesa ndio mtunga sheria".Sitaki kuamini kabisa,nasema sitaki jamani msinilazimishe niamini hivyo kwa sababu sitaki kuamini hivyo!