Povu ruksa

moyafricatz

JF-Expert Member
Joined
Nov 27, 2015
Posts
2,905
Reaction score
4,948
Vijana tunawajibu wa kupendana sana,kusaidiana,kuelekezana na kukosoana kwa akili na kwa wema .Picha hiyo wengi waliopigwa hapo sasa hivi wanashika majukumu nyeti ya Chama na Serikali wakati huo hawakuwa nayo yupo Naibu katibu Mkuu hapo,yupo RC hapo,wapo wakuu wa Wilaya hapo,wapo Madas hapo wapo Makatibu cha Chama hapo Yupo Mwenezi wa Mkoa wa Dodoma hapo na pia leo kwe hiyo picha yupo Mnec wetu mpya Jaffari Kubecha Mghamba na nk.
Kimsingi tuvumiliane ma tusiruhusu tofauti zetu au madhaifu ya wenzetu kuwa ajenda kwetu na kuyashikilia na mwishowe kutubomowa.
Chama hiki kinatutegemea sana vijana wa sasa kwaajili ya kesho na siku za usoni Serikali hii inatutegemea sana vinaja kwaajili ya kesho na usoninkushika nyazfa mbalimbali.
Sasa tutafanyaje kazi za Chama na Serikali tukiwa tukiwa tumeshajeruhiana sana sana huku nyuma na sasa.
 
Ni kweli kabisa vijsna tunatakiwa tuishi kwa upendo na ushirikiano
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…