Postal/zip code ya Tanzania ni ipi?

Naona unataka kuwalisha watu matango pori! Hiyo ni zip code ya Tanzania toka lini?

Kuna country code ambayo ni 255 na kila mji una zip code yake pamoja na ya kata zake!
mnisamehe... ni y Dar es salaam😓
 
50205👍
 
mnisamehe... ni y Dar es salaam😓
Hilo nalo ni chaka! Kwa faida yako ni wengine, attached below ndio zip codes tanzania mzima na screenshot, ni zip codes for Dar es salaam Central Business District.(Ilala)


NOTE: Zip Code ya Mkoa wa Dar es salaam ni 11000
 

Attachments

Ukipiga internationally kwa kuanza na code yetu, namba ya simu inayofuata hatuweki 0 ya mwanzoni, mfano: +255753169344 na siyo +2550753169344. Ukiweka hiyo 0 utapiga hadi kiyama ifike.
 
Daaa! kila mtu anaongea lake sijui nani mwenye jibu sahihi? hahahahaah
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…