Kungekuwa na mbadala wa posta nadhani hawa jamaa wangekosa wateja kabisa maana wanachelewesha mizigo toka nje mpaka wanakera,wajitafakari na kuchukua hatua.
Kweli humu JF tupo watu wa kila aina, wewe nadhani hujaelewa Mada,
Kuna Bank ya Posta inayohusika na Miamala (Transactions)
v/s
Kuna Shirika la Posta linaloshughulika na Vifurushi
Alichomaanisha mleta mada na ulichojibu wewe ni tofauti kabisa