Yote hayo ya nini wakati DHL ipo? (sitangazii biashara lakini jamaa wapo fit)naomba nikupe ushauri wa bure juu ya parcels zitokazo nje. Hakikisha kwamba zime wekewa bima huko zitokako ili zikipotea bima ikulipe. Nilitonywa na jamaa kwamba wanviogopa vifurushi vilivyowekewa bima na pia waambie wanaokutumia walipie huduma iitwayo delivery confirmation..Hapo utakuwa umewatega pabaya...