Baada ya muda mrefu hatimaye leo waziri wa elimu na mafunzo ya ufundi dr shukuru kawamba atangaza ajira za walimu,kwa ngazi za cheti,shahada na stashada,waziri pia akaongeza kuwa mwisho wa kulipot vituo vya kazi ni tarehe 1 mach 2013 up to 9..hivyo kutoa matumain kwa vijana wengi ambao walikuwa mtaani wakingojea ajira hizo..source tbc taifa habari tar 13/2/2013