ukweli serikali aina pesa.ata mishahara ya wale waliopo kazini ni tatizo.pia ieleweke kwamba ,serikali yetu aijui kujipanga kama nchi nyingine!(wengine upanga waajiri wangapi mara baada ya wahitimu kumaliza shule so upanga bajeti yao mapema miezi 4au 6 kabla awajatoka shule)hapa kwa kweli majanga! Uenda bajeti yenu ikapitishwa mwezi wa saba 2014/2015 budget na ikatekelezwa mwezi wa 9 au wa kumi 2014*huu ndo ukweli,labda utokeee muujiza