Post za vyuo vya afya

Post za vyuo vya afya

A.H.J.Nyangassa

New Member
Joined
Mar 1, 2015
Posts
1
Reaction score
0
naombeni msaada juu ya post za vyuo vya afya kama zimeshatoka au bado, na je? nawezaje kujua password niliyoisahau katika profile tulizofungua wakati wa kuapply katika vyuo hivyo
 
ingia kweny
email yako tafuta message uliyotumiwa na nacte utaikuta iyo password
 
Naomba msaada kwa yeyote anaejua utaratibu juu ya kujiunga kozi za afya kwa mwaka huu...maombi yanaanza lini na mwisho lini nanamna yakufanya maombi
 
naombeni msaada juu ya post za vyuo vya afya kama zimeshatoka au bado, na je? Nawezaje kujua password niliyoisahau katika profile tulizofungua wakati wa kuapply katika vyuo hivyo

ndugu yangu hivi mliomba lini na mwisho wakuaply lini namim nataka niombe
 
Deadline Ya Kutuma Maombi N Tar 18/ Mwez Huu Na Namna Ya Kutuma N Kua We Tembelea Internet Cafe Yeyote Ukiwa Na Sh 30000 Mpesa Na Elfu Kumi Ya Malipo Lakn Pia Kumbuka Inatakiwa Uwe Na Ufaul Ktk Masom Ya Phz,chem & bios!
 
mimi na mdogo wangu ana C ya bio,D phy,D chem,Dya geo na mengine E jeanaweza akachaguliwa certificate ya clinical medici
 
Naomba msaada kwa yeyote anaejua utaratibu juu ya kujiunga kozi za afya kwa mwaka huu...maombi yanaanza lini na mwisho lini nanamna yakufanya maombi

Maombi kozi za Afya yalianza toka April mwisho tar 18/07/2015
Maelezo zaidi pata hapa nacte.go.tz
 
Wakuu,
Hivi kama mtu amepewa post ya diploma ya ualimu wa primary hataki kwenda. Je kuna uwezekano wa ha NACTE kumconsider atakapo apply kozi za afya hata kama vigezo anavyo?
 
Wakuu,
Hivi kama mtu amepewa post ya diploma ya ualimu wa primary hataki kwenda. Je kuna uwezekano wa ha NACTE kumconsider atakapo apply kozi za afya hata kama vigezo anavyo?
hauwezi kuwa considered mjomba wakati tayari wao wameshakuchagua kozi ya ualimu, lazima wakuteme hata kama unasifa so ni bora usepe tu uticha
 
Back
Top Bottom