TATA PANYA
Member
- Jul 26, 2013
- 54
- 8
Jamani wanaJF napenda kuuliza kwa yeyote anayejua juu ya watakaochaguliwa kujiunga na mafunzo ya ualimu 2014/2015 Ln?
mbona yashatoka
m2saidie basi wana jfm maana tumesubiri walisema kuwa watatuma kwenye web but hakuna ki2
sasa wana jf wakusaidie nini.?, kwani wenyewe ndio wanayo.! Kipi wakusaidie.! kuwa nasubira yakiwa tayari utayaona tu..