Post tangazo lolote la ajira

Post tangazo lolote la ajira

rikiboy

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2017
Posts
22,164
Reaction score
43,854
Uzi maalumu kwa ajili ya Kupost picha pamoja na matangazo yoyoye yanayohusu ajira za muda au permanent. Hii sababu sio wengi wana access na site za ajira pia suala la Matumizi ya internet wengine ni changamoto.

Inawezekana sio wewe utafaidika na tangazo hilo lakini unaweza kumwambia hata ndugu au rafiki mwenye vigezo akafaidika. Inaweza kuwa tangazo la kutoka kwenye Group lako la whatsapp either kuhusu Afya au jambo lolote.

Huwezi kumpa mtu hela kila siku lakini Unaweza kumpa Ajira akapata fedha kila siku. Chukua muda wako japo dak tano unaweza kuwa msaada mkubwa kwa mtu na maisha yake bila kujua.

KARIBUNI.
Screenshot_20190916-073521_WPS%20Office~2.jpeg
 
Back
Top Bottom