Habari wadau!
husika na kichwa cha habari hp juu,ni post ipi na ya nani ilikugusa kihisia iwe furaha au huzuni,na kwa kigezo kipi utaendelea kuikumbuka?
Habari wadau!
husika na kichwa cha habari hp juu,ni post ipi na ya nani ilikugusa kihisia iwe furaha au huzuni,na kwa kigezo kipi utaendelea kuikumbuka?
Ni nyingi sana hasa zile zilikuwa na mafunzo ndani yake! Na si posts tu hata comments za baadhi ya wana-JF nilizipenda mno na naamini zimenifundisha mengi. Nilitamani nizitaje, lakini kwa wingi wake naweza kuzisahau baadhi na nitakuwa sikuwatendea haki wale walionikonga moyo na kisha nikashindwa kuonyesha fadhila japo kwa kuwa-mention.Ila pia zipo zilizonibore sana!