T tinto Member Joined Nov 16, 2015 Posts 99 Reaction score 50 Mar 4, 2016 #1 Naombeni mnisaidie wana jamvi eti serikali bado inaajiri hawa walimu waliosoma post graduate ya education?na kama ndiyo ajira za ualimu zinatoka lini?
Naombeni mnisaidie wana jamvi eti serikali bado inaajiri hawa walimu waliosoma post graduate ya education?na kama ndiyo ajira za ualimu zinatoka lini?
second king Member Joined Feb 8, 2016 Posts 94 Reaction score 43 Mar 4, 2016 #2 Kwan walisitisha lin kuwaajiri?
T tinto Member Joined Nov 16, 2015 Posts 99 Reaction score 50 Mar 4, 2016 Thread starter #3 second king said: Kwan walisitisha lin kuwaajiri? Click to expand... Mimi sifahamu kama wanaendelea ila nilisikia kuwa ile ilikuwa program ya muda tu kipindi serikali haina walimu wa kutosha
second king said: Kwan walisitisha lin kuwaajiri? Click to expand... Mimi sifahamu kama wanaendelea ila nilisikia kuwa ile ilikuwa program ya muda tu kipindi serikali haina walimu wa kutosha
MSEZA MKULU JF-Expert Member Joined Jul 22, 2011 Posts 3,768 Reaction score 5,634 Mar 4, 2016 #4 serikali inaupungufu wa waalimu wa sayansi 26000.
second king Member Joined Feb 8, 2016 Posts 94 Reaction score 43 Mar 4, 2016 #5 Wanaajiriwa mkuu! Subri ztoke post!
T tinto Member Joined Nov 16, 2015 Posts 99 Reaction score 50 Mar 4, 2016 Thread starter #6 MSEZA MKULU said: serikali inaupungufu wa waalimu wa sayansi 26000. Click to expand... Oooh kwaiyo hawa wa arts je?
MSEZA MKULU said: serikali inaupungufu wa waalimu wa sayansi 26000. Click to expand... Oooh kwaiyo hawa wa arts je?
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,880 Reaction score 13,932 Mar 5, 2016 #7 tinto said: Oooh kwaiyo hawa wa arts je? Click to expand... wa atrs wamezidi wanafikiria namna ya kuwapunguza
tinto said: Oooh kwaiyo hawa wa arts je? Click to expand... wa atrs wamezidi wanafikiria namna ya kuwapunguza
T tinto Member Joined Nov 16, 2015 Posts 99 Reaction score 50 Mar 5, 2016 Thread starter #8 balimar said: wa atrs wamezidi wanafikiria namna ya kuwapunguza Click to expand... Ooooh aya asante
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,880 Reaction score 13,932 Mar 5, 2016 #9 tinto said: Ooooh aya asante Click to expand... just kidding my dear
T tinto Member Joined Nov 16, 2015 Posts 99 Reaction score 50 Mar 5, 2016 Thread starter #10 balimar said: just kidding my dear Click to expand... Aaaah!!!!maana nina ndugu yangu ana hope kubwa sana ya kupangiwa kazi amesoma iyo post graduate ndo mana nilikuwa nahitaji kujua zaidi
balimar said: just kidding my dear Click to expand... Aaaah!!!!maana nina ndugu yangu ana hope kubwa sana ya kupangiwa kazi amesoma iyo post graduate ndo mana nilikuwa nahitaji kujua zaidi
balimar JF-Expert Member Joined Sep 18, 2015 Posts 7,880 Reaction score 13,932 Mar 5, 2016 #11 tinto said: Aaaah!!!!maana nina ndugu yangu ana hope kubwa sana ya kupangiwa kazi amesoma iyo post graduate ndo mana nilikuwa nahitaji kujua zaidi Click to expand... Atapata mungu ni mwema
tinto said: Aaaah!!!!maana nina ndugu yangu ana hope kubwa sana ya kupangiwa kazi amesoma iyo post graduate ndo mana nilikuwa nahitaji kujua zaidi Click to expand... Atapata mungu ni mwema
T tinto Member Joined Nov 16, 2015 Posts 99 Reaction score 50 Mar 5, 2016 Thread starter #12 Aiya ngoja asubir