Click Hapa
JF-Expert Member
- Jan 27, 2013
- 479
- 206
Habari za leo wadau wa jukwaa hili.
Wadau naomba ushauri kwa mwenye kuitambua taasisi hii.
Taasisi hii kwa sasa inaendesha semina mbalimbali maeneo mbalimbali ya nchi hii na kwa sasa wawezeshaji wa taasisi hii wapo jijini Mwanza.
Nimeudhuria semina yao leo kauli mbiu yao ni "sababisha mapinduzi ya uchumi na poso"
Wanasema ukijiunga nao basi utafaidi huduma na fursa za uwekezaji na uwezeshaji wa kiuchumi na ajira, kwamba ukijiunga nao utapata dhamana ya kuwezeshwa mtaji.
Taasisi hii pia inaundwa na taasisi ya fedha inayojulikana kwa jina la Bega kwa bega microfinance Co. ltd
Kwenye semina zao watu hawa wameambatana na wasanii maarufu hapa nchini kama JB, Mzee Majuto na mtangazaji maarufu wa East Africa Radio jina ni Zembwela.
Wana habari zinazovutia sana kwa mtu kujiunga nao.
Mojawapo ya suala wanalosisitiza pamoja na mambo mengine ni kununua shares zao ili nawe uwe mmiliki ktk taasisi hiyo.
Msaada ninaowaomba wadau, kwa yeyote mwenye kutambua vizuri taasisi hii asaidie ili isijekuwa ni DESI nyingine hii imekuja kwa style ya aina yake.
Angalieni moja ya vipeperushi vyao.