posible question pccb

mjasiliamali14

Senior Member
Joined
Jan 5, 2014
Posts
147
Reaction score
21
wakuu naomba mwenye idea juu ya aptitude test atuelekeze maana tunatarajia kufanya aptitude test ya pccb ijumaa natanguriza shukran
 
relax,aptitude test inakuwa na mambo general,wewe jenga kujiamini pia fahamu mambo kadhaa ya kijamii,kisiasa na kichumi ambayo yako current(hot issues za kijamii) katika national na international level.
fahamu pia mambo mengi ya utawala wa sheria na yanayohusina rushwa anzia hapo mkuu,
all ze best!
 
Blessed mungu akubariki naiman kwa uwo mchanganuo ulionipa ntakuwa na cha kujibu hapo mungu akubariki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…