mkuu mshahara huo kwa nini ukae nyumba ya laki 3, umeme wa elfu 50!!! una mashine yakusaga hapo home?
ishi kulingana na kipato chako utawekeza saa ngapi kama hayo ndo matumizi???? kwa fresh from school hui mshahara ukijipanga unatoka sio kulialia ovyoo, kumbuka after 3 years daraja la mshahara linapanda achilia mbali annual increament!!!?? life is how you make it