mimi huwa nashangaa haya yote ni mashirika ya umma ,lakini taratibu za posho huwa hawatumii nyaraka za hazina wanajitungia zao .mfano nyaraka za hazina zinaonyesha kuwa mtumishi akiwa nje ya nchi walipwe kati ya dola 365 had 420 per day kulingana na cheo,ila ngorongoro per diem yao nje ya nchi ni maajabu ni dola 600.kama sio kukosekana kwa uongozi kwa nini serekali isiktumie haya mahela ktk maendeleo ya nchi nzima