WatakujaIna mana jf nzima hamna aliyeoa amsaidie mdau hapa
Bora aisee naona post ipo toka lisaa limepita kimyaaWatakuja
Yule wa rubbish kafikaBora aisee naona post ipo toka lisaa limepita kimyaa
Tafuta mshenga wa kabila husika atakuelekeza kila kitu.Wanajamvi
Mimi nipo hapa kuna mwanamke ninampango wa kumuoa. Sasa ninataka kutoa posa na bahati mbaya sijawahi kuposa wala kuona mtu akipeleka barua ya posa.
Naomba kuuliza je,
1.Ni nani hasa anatakiwa apaleke nlvarua ya posa? Muoaji au ndugu zake?
2. Je, kwenye barua ya posa unasema nini kwa ufupi?
3. Je, barua ya posa lazima iandamane na pesa. Kama hivyo ni angalau Sh. ngapi?
Nawasilisha wadau.
Hahahaaaa empty setYule wa rubbish kafika