Wrong decision fella!!I'm pulling for the underdog!
Go Wales go!
Hujui ballHahaha acha hizo. Portugal washafaidi raha za ushindi. Wales ni fursa yao kuonja walau fainali
Mkuu si useme tu kwamba wewe ni timu nanihii!![emoji3]Yaani nawaombea sana Wales washinde I see. Basi tu, sina sababu za msingi ila natamani sana washinde.
Acha watangulie ila ni lazma tuwapige tu maana hakuna namna nyngine[ATTAnamnall]363591[/ATTACH]
Wales ndo wanaelekea eneo la tukio
Yaani nawaombea sana Wales washinde I see. Basi tu, sina sababu za msingi ila natamani sana washinde.