Porojo za RC wa Dar!

Wakiondoa foleni watakuwa wameondoa maendeleo because according to the president, foleni == maendeleo.
 
Daaaaah, wacha naye aseme chochote ili ajulikane yupo.
 
Watanzania mbona hamna subra?

kwani muda wa uongozi umeisha? subiri muda uishe yaani 2015 ndio muanze kulalamika!

Ahadi zote zitatekelezwa 2010-2015.

Tusubiri kwa imani au?maana uhalisia ni sawa na kusema"wananchi wa Tanzania kila mmoja atamiliki ndege"teh teh teh
 
CCM ni namba wani, utasikia mara zidumu fikra za mwenyekiti, mara fikra za mkuu wa mkoa, mara fikra za nani sijui, yaani ni ujinga mtupu.
Nimemsikia akiwaagiza wakuu wa wilaya kuondoa tatizo la msongamano wa magari na kupanda kwa bei ya vyakula. Huu ni mzaha mwinginee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…