thank you for educating me because
"education is the process of wasting half of our life to learn how to wast remaining half of our life"
Albert einstain
Mimi jana baada ya kuliona bandiko hili ilibidi niusikilize tena na tena uzuri upo katika maktaba yangu duh houston alikuwa mwanamuziki huwa kila nikikumbuka alivyo panda penye I ll always love you hubaki natingisha kichwa tartibuuu maana mpando ule kwa mtu ambae si mwenye kiwango kile unaweza kuta ana wachafulia hali ya hewa.