Popote alipo H. Polepole tunawataka msimzuru huyu kiumbe

Popote alipo H. Polepole tunawataka msimzuru huyu kiumbe

Lipijema

JF-Expert Member
Joined
Mar 8, 2015
Posts
922
Reaction score
1,451
Inasikikitisha sana nchi hii tumekosa uhuru ndani ya Tanganyika yetu, mtu unatembea barabarani ukiwa na mashaka ya kutekwa, hata unapolala pia ni mashaka tupu ujui kama jua la kesho utaliona.

Ukimsikiliza Mama yake Polepole na familia yake inavyozungumza kwa masikitiko makubwa inaudhunisha kwa kweli! Watanzania bila ya kujali itikadi zetu za dini, vyama au kabila tunaomba msimzuru H.polepole kwa kumuua, ingawa tunafahamu kwa zile damu nyingi zilizo mwaika hatakuwa dhoofu sana.

Jeshi letu msikie vilio vyetu wananchi tusije jutia huu muungano pengine bila ya muungano tusingekuwa na huyu " UTU NA KAZI!"
 
tuna IGP, tuna CDF ,tuna waziri wa ulinzi tuna waziri wa mambo ya ndani,tu DG wa usalama wa taifa ,JAJI MKUU
Ila Cha kusikitisha WOTE KIMYAAAAAAAAAAAAAAAAA.
Kana kwamba hakuna kilichotokea
 
Back
Top Bottom