Popo wananisumbua sana

Ulongupanjala

JF-Expert Member
Joined
Apr 9, 2013
Posts
8,508
Reaction score
13,976
Wakuu heshima kwenu.

Nina nyumba yangu ambayo ipo kijijini kwetu inatumika mara chache chache.
Kumekuwa na tatizo la kudumu la popo kuwepo.

Naomba kujua dawa ya kuwafukuza na kuwaondoa kabisa hawa popo.

Pia kuna tatizo la wadudu wadogo jamii ya siafu wanaochimba msingi wa nyumba kwa Kasi kubwa,naomba dawa ya hawa wadudu nao ni tatizo kubwa.

Asanteni sana.
 
Dawa ni kumtafuta mtu aishi hapo awe anaitunza nyumba na mazingira yanayoizunguka basi, nyumba ikikaa tupu muda mrefu inakuwa kichaka cha popo, wadudu na mashetani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…