BOB LUSE
JF-Expert Member
- Jan 25, 2014
- 3,738
- 3,198
Nakumbuka kuna uchaguzi NGANGARI waliwagalagaza MAFISI huko visiwani.zikafanyika hujuma kama hizi.zinazoendelea kwa sasa,lakini.matokeo yake kwakweli yalileta taharuki mpaka Bara.mpaka leo njia ya Tandale inakituo kinachokumbusha tukio lile.
Naomba MAFISI kwa uroho wao wa madaraka kama Nkurunzinza wasije.wakatuletea balaa kama lile.
wanaokumbuka nadhani wanaweza kuwakumbusha vijana hasara za uroho na ulivyowatokea puani.
Naomba MAFISI kwa uroho wao wa madaraka kama Nkurunzinza wasije.wakatuletea balaa kama lile.
wanaokumbuka nadhani wanaweza kuwakumbusha vijana hasara za uroho na ulivyowatokea puani.